Mkataba: Muda Maalumu – Miezi 12
Masaa ya Kazi: Saa 45 kwa wiki (ikiwemo mwisho wa wiki)
Anaripoti kwa: Msimamizi wa Miundombinu (Facilities Manager)
Mshahara: Tsh. 275,000 – Tsh. 300,000 kwa mwezi kutegemeana na uzoefu
Mahali: Moshi, Tanzania
Manufaa ya Ziada: Kifurushi cha Motisha Kikubwa kinachojumuisha posho ya kodi, kifurushi cha simu, chakula na mchango wa mfanyakazi katika bima ya afya ya familia
Sifa/Viwango vya Chini vya Elimu/Ujuzi:
- Uzoefu katika kazi ya ulinzi au inayofanana na hiyo
- Uwezo mzuri wa kuwasiliana na wafanyakazi, Watoto na wageni kwa weledi
Jinsi ya Kuomba:
Tuma wasifu wako na barua ya maombi ya Kazi yakielezea kwanini uchaguliwe wewe kwa barua pepe: jobs@kijana-kwanza.org au leta maobi yako ofisini kwetu.
Mwisho wa kutuma maombi: Ijumaa 20 Juni 2025 (saa 8 mchana)
Pakua maelezo kamili ya kazi hapa.
Kwa maelezo zaidi piga:
0652 314 119 or 0656 603 021